B Banuuislaa New Member Joined Sep 10, 2021 Posts 1 Reaction score 1 Sep 10, 2021 #1 Naomba kuuliza Kama Kuna mtu anafahamu mayai ya kisasa yanapopatikana kwa wingi anifahamishe, natokea lushoto tanga, habar
Naomba kuuliza Kama Kuna mtu anafahamu mayai ya kisasa yanapopatikana kwa wingi anifahamishe, natokea lushoto tanga, habar
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Sep 10, 2021 #2 Ukiwa Dar nenda kwa Ex Mayor wa Ubungo Ndugu Jacob LAZIMA utapata mayai ya kutisha na kutosha