Kuna mtu anasaidia kufungua kampuni kwa sh. 300,000 tu

Kuna mtu anasaidia kufungua kampuni kwa sh. 300,000 tu

Festo Ntibalizi

New Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Wana JF habarini,

Kwa wale wanaohitaji kufungua Kampuni yeye gharama yake ni 300,000 tu na utafanyiwa shughuli zote za usajili na kuandikiwa kila kitu na mihuri. Wewe hutahitaji kwenda BRELA bali kusubiria cheti chako tu na bei yake ni nzuri tu na kwa NGO ni sh. 200,000 tu.

Yeye anaishi Dar. Mtumieni huyu mfikie malengo yenu.
 
Kuna jamaa humu humu alikuwa anakufanyia kila kitu, anakukabidhi document zikiwa tayari, hakuna cha kwenda kusubiri brela wala nini kwa bei sawa na bureeeeeeeeeeeeee.
 
Mbona hata namba yake hauweki?
Mi ninamuhitaji. Weka namba ya simu.
 
Wapendwa,
Tusidanganye umma laki Tatu unasajili jina ama limited company maana ukisajili kampnu yenye mtaji wa million 30 gharama za brela tu 376,000. Kama mpo shareholders 3 Lazima uandae vitabu so chini ya sits kila kitabu kuprinti, binding, lawyer certification sio chini ya elfu 15000 bado mwandika MEMAT bado gharama za nauli na faida ya mdau. Hapo hujaweka gharama ya kuspeed process.

Yusidanganyane
 
Vizuri ungeuliza hiyo Laki tatu ni kwa ajili ya nini kuliko kujibu Pasi kutafakari.
Gharama hiyo si malipo ya brela Bali ni malipo ya consultation na uandaaji wa documents za kisheria na usumbufu woote wa kufuatilia mpaka unapopata cheti chako wewe ukiwa umetulia nyumbani kwako.
Unachotakiwa kutoa ni majina pendekezwa manne ya Kampuni yako vile unataka iitwe picha za passport size za viongozi na malipo ya moja kwa moja ya Brela yanayojulikana na kufahamika sawasawa na hitaji la Kampuni husika.
 
Back
Top Bottom