Festo Ntibalizi
New Member
- Jun 3, 2015
- 3
- 0
Vizuri ungeuliza hiyo Laki tatu ni kwa ajili ya nini kuliko kujibu Pasi kutafakari.Wapendwa,
Tusidanganye umma laki Tatu unasajili jina ama limited company maana ukisajili kampnu yenye mtaji wa million 30 gharama za brela tu 376,000. Kama mpo shareholders 3 Lazima uandae vitabu so chini ya sits kila kitabu kuprinti, binding, lawyer certification sio chini ya elfu 15000 bado mwandika MEMAT bado gharama za nauli na faida ya mdau. Hapo hujaweka gharama ya kuspeed process.
Yusidanganyane
Wasiliana nae kwa namba 0755089416 usajili Kampuni yako sasa. Usisite kumtafuta.Mbona hata namba yake hauweki?
Mi ninamuhitaji. Weka namba ya simu.