Kuna mtu anatishia kujiua nisaidieni kisheria

Kuna mtu anatishia kujiua nisaidieni kisheria

chrisnyoni

Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
21
Reaction score
1
Wadau naombeni msaada nna msichana anatishia kujiua mara kwa mara kila tukitaka kuachana alishatishia mara ya kwanza ikabidi tuludiane coz naogopa. sasa shreia itanilindaje endapo atajiua na ataacha ujumbe kuwa amejiua kwasababi ya mimi. au nifanyaje jamani nisiingie hatianii. pliz najuta
 
Na wewe ndogu hauna hata point!!Kwanza utueleze sababu ya kumpenda mara ya kwanza, na mliahidiana nini hadi kuwa wapenzi.. na baadaye utuelezee kwanini unataka kumuacha?Na umekaa naye muda gani...Siyo kupost tu na kututega kwa kuomba ushauri bila taarifa nyingine..Unadhani yeye hapendi KUHESHIMIKA?Kwanini umpotezee muda halafu sasa ndiyo umuacha...!The Lady loves, ndiyo maana...The cost of the Love she loves you,equals to her life...HER LOVE TO YOU=HER LOSING LIFE.
Tafakari na chukua hatua.Nawakilisha.
 
Back
Top Bottom