kuna mtu anaweza kufanya hivi?

udom kuna evening class kwa watu wa bachelor? Sio wa masters na diploma tu?. . . . .msaada tafadhali kwa anayejua.
 
udom ina evening classes? Then utafanyaje ili uweze kusoma evening classes ikiwa si mfanyakazi?

kwani ni lazima uwe mfanyakazi ndio usime evening? mbona TIA wanasoma na hawafanyi kazi? hapo inatakiwa coz moja iwe full tym, nyinge evening na kama anajiamini hamna oprtion ya evening, agawe kwenda degree 3 times, dip 2 times na kama anakichwa kizuri he/she cana make it
 
inawezekana kabisaa, hapo ni yeye mwenyewe kuweza kugawa muda wake, na kichwa chake kama kina sumaku nzuri hakuna tabu kabisa!
 
kila chuo lazima kiwe na evening classes?. . . .kwa kozi kama information system udom,ina evening class?
 
kila chuo lazima kiwe na evening classes?. . . .kwa kozi kama information system udom,ina evening class?
kwakweli cjajua ila si lazima kiwe na evening classes, my point wasi kama anajiamini anaweza soma coz zote kwa pamoja inspite of muda
 
Huyo ni noma! Watu wanasoma degree moja inawashinda huyo anataka na dip! Amenfurahisha sana!
 
kuna jamaa alisoma degree 2 kwa wakati mmoja na matokeo yake yupo mtaani huu sasa ni mwaka wa 4 anasugua bench c'se yupo shallow pande zote kila interview anashindwa
 
kuna jamaa alisoma degree 2 kwa wakati mmoja na matokeo yake yupo mtaani huu sasa ni mwaka wa 4 anasugua bench c'se yupo shallow pande zote kila interview anashindwa

ol i need to knw ni kwamba ataweza,au afanyekitu gani ili aweze? Hayo mambo mengne yatafuata baadae mkuu.
 
Mshauri asome DIPLOMA IN GEOLOGY AND MINERAL EXPLORATION, na aachane na degree ya Information System.
 
Mshauri asome DIPLOMA IN GEOLOGY AND MINERAL EXPLORATION, na aachane na degree ya Information System.

why mkuu,mi siyaelewi fresh haya mambo so its better ukanisaidia japo kutoa maelezo kidogo ili nipate uwanja mpana wa kumuelezea,thats why nimeleta humu ili nimpe mawazo mazuri.
 
mi naona achague moja anayopenda kufanya kama 1st priority then nyingine kama itawezekana afanye after 1st lakin swala la kupiga two in one itakua kama alivosema Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…