Kuna mtu "binafsi" duniani anamiliki treni?

Kuna mtu "binafsi" duniani anamiliki treni?

AlphaPii

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2015
Posts
1,168
Reaction score
1,852
Kuna "kundi" la watu "wananiambia" eti;kuna matajiri wakubwa huko ulaya wanamiliki treni zao.
Lakini napata tabu kuamini hili,si-kwamba pesa hawana ila kutokana na aina ya usafiri na njia inamopita.Ni kweli wapo hawa watu wanaomiliki treni zao?
 
Unamaanisha kumiliki kampuni inayoendesha usafiri treni au kumiliki treni kama chombo chake binafsi cha usafiri?
 
Unamaanisha kumiliki kampuni inayoendesha usafiri treni au kumiliki treni kama chombo chake binafsi cha usafiri?
Kivyovyote vile,ila isiwe ya serikali.
Kwa mfano Azam wanunue yao.
 
Nadhani Richard Brandson wa Virgin Atlantic anamiliki treni ikiwa pamoja na space shuttle.
 
Back
Top Bottom