Ok.Yupo mmiliki wa virgin group Richard Branson,kulikuwa na mtu anaitwa henry Carnegie nchini U.S.
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani kuna kampuni zinazomilikiwa na watu na zinabeba abiria au mizigo across US...Kivyovyote vile,ila isiwe ya serikali.
Kwa mfano Azam wanunue yao.
Forget The Private Yacht And Buy Your Own Train Car InsteadKuna "kundi" la watu "wananiambia" eti;kuna matajiri wakubwa huko ulaya wanamiliki treni zao.
Lakini napata tabu kuamini hili,si-kwamba pesa hawana ila kutokana na aina ya usafiri na njia inamopita.Ni kweli wapo hawa watu wanaomiliki treni zao?