Kuna mtu humu aliyejiunga na bima ya afya ya VODACOM (VODABIMA) atupe mrejesho

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Kama kichwa cha habari kilivyo nauliza kama kuna member humu alipata matibabu kwa voda bima ya vodacom hali ikoje na je huduma zote zinapatikana ikiwemo upasuaji,kunywa na meno,uzazi na magonjwa yasiyoambukizwa kama sukari,BP na .n.k

USSR
 
Kuna jamaa JF aliwahi walalamikia kuwa wana longo longo nyingi sana, wanakuchekea wakati unalipa, lakini shida ikikupata hakuna rangi utaacha kuona.
 
Kuna jamaa JF aliwahi walalamikia kuwa wana longo longo nyingi sana, wanakuchekea wakati unalipa, lakini shida ikikupata hakuna rangi utaacha kuona.
Aisee
 
Wezi, najiuliza serikali Kwa Nini unaacha watapeli watu
 
MIMBA achana na bima za mitandaooo sio wajinga walee ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…