Kuna mtu humu ndani kasomea Packaging Engineering?

Kuna mtu humu ndani kasomea Packaging Engineering?

Walnut Creek

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Posts
5,830
Reaction score
6,315
Rejea kwenye kichwa habari, ningependa kupata ushauri kwenye masuala ya kutengeneza corrugated boxes.
 
Rejea kwenye kichwa habari, ningependa kupata ushauri kwenye masuala ya kutengeneza corrugated boxes.

Nenda TBS kipo kitengo na maabara mpya yenye vifaa vizuri na wataalamu wengi wa fani hiyo, watakusaidia.
 
Kama huna idea usifikiri wanaweza kukupa insight zote. Wafanya biashara hii ni wahindi, check nao. Hata haoTBS hawajui inside out ya hizo process.
 
basi inabidi aende kwa wahindi waende kumsaidia hiyo program
 
Kama huna idea usifikiri wanaweza kukupa insight zote. Wafanya biashara hii ni wahindi, check nao. Hata haoTBS hawajui inside out ya hizo process.

Nashukuru, sitegeme watanipa info zote lakini sitakata tamaa hadi nipate nachotafuta.
 
Mimi nimesoma packaging material Technology. Ushauri mzuri inategemea na hizo boxi zinawekewa bidhaa gani, uzito,nature ya bidhaa.Hizo boxi kama zitatumika kama primary packaging au secondary packaging.Kuna vitu vingi sana atakuuliza designer wa packaging. Fanya utafiti kuna viwanda vya maboxi vipo dar ila sivikumbuki.
 
Back
Top Bottom