Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Rejea kwenye kichwa habari, ningependa kupata ushauri kwenye masuala ya kutengeneza corrugated boxes.
Nenda TBS kipo kitengo na maabara mpya yenye vifaa vizuri na wataalamu wengi wa fani hiyo, watakusaidia.
Kama huna idea usifikiri wanaweza kukupa insight zote. Wafanya biashara hii ni wahindi, check nao. Hata haoTBS hawajui inside out ya hizo process.