Black Legend
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 174
- 301
Nimeona hii gari Toyota FJ Cruiser, inaonekana ni gari makini saana lakini bei yake ni hatarii....kuna mtu kaishaitumia hii na ufanisi wake upoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gari ya kibabe sana ! sema mfuko haupo njema
Dah mkuu kwa makadirio uliyoleta hapa kwa sisi wa hesabu la darasa la tatu tuu umetuacha ni sawa na useme ni kati ya sh. Ml 33 hadi ml. 170 sasa manake niniYeees mdau, bei yake ni mbalii saana.... ina range FOB yake USD 15000 hadi zaidi ya USD 80,000.
Dah mkuu kwa makadirio uliyoleta hapa kwa sisi wa hesabu la darasa la tatu tuu umetuacha ni sawa na useme ni kati ya sh. Ml 33 hadi ml. 170 sasa manake nini
Ni sawa na useme nina mfukoni shilingi kati ya elfu 5 na milioni
Ungesema sijui labda eee??
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Nilikuwa namaanisha kuwa zile za bei ya chini zinaanzia dola 15000 kabla ya kusafirishwa toka Japan hadi dola 80,000 kwa zile za bei ya juu kulingana na ubora na mwaka zilipotengenezwa.
Ok!!! Ahsante kwa mrejesho mkuuNilikuwa namaanisha kuwa zile za bei ya chini zinaanzia dola 15000 kabla ya kusafirishwa toka Japan hadi dola 80,000 kwa zile za bei ya juu kulingana na ubora na mwaka zilipotengenezwa.
weka picha na beiMkuu kuna volvo New model ya 2017 moto wa kuotea mbal v8 kabisa ikiwa Lough road
Post sent using JamiiForums mobile app
Sikuwahi kujua kama ni ghali kiasi hikiYeees mdau, bei yake ni mbalii saana.... ina range FOB yake USD 15000 hadi zaidi ya USD 80,000.
Haulali mkuu?Sikuwahi kujua kama ni ghali kiasi hiki
Post sent using JamiiForums mobile app
NgumuHaulali mkuu?
Post sent using JamiiForums mobile app
Hii gari kuna mhindi moja anayo mwanza.
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app