Kuna mtu kajichanganya katuma pesa eatel money Tsh 50000 wadau vipi niitoe?

Hizo njaa sasa em mrudishie mwenyewe hela yake je kama alikuwa anamtumia ndugu yake mgonjwa akanunue dawa?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Unazitamani? Sasa kiherehere cha nini? Tulia kama kuna aliyekosea atakwambia utamrudishia hata kama ni baada ya mwezi!
 
fikiria mara mbili mbili kama ni sahihi ama laah maana bado bado uamuzi ni wako. usijekuwa mtego nawe ukaingia mzima mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…