Kuna mtu kajichanganya katuma pesa eatel money Tsh 50000 wadau vipi niitoe?

Unamaanisha walikuwa matapeli?
 
Unamaanisha walikuwa matapeli?
Ndiyoooo niliwagundua mapema..walikuwa wakiniuliza maswali ya kijinga nikawa sitoi ushirikiano..mfano unakumbuka ni kiasi gani kimeingia kwenye akaunt yako dakika Kumi zilizopita? Huku namba hiyohiyo Ndo imetuma meseji na hiyohiyo ndo imenipigia. Nitaendelea hapo chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…