Kuna mtu mmoja wa sura ya kihindi amepita anatabiria watu maisha yao

Habari wakuu,
Kuna mtu mmoja wa sura ya kihindi amepita Dar es Salaam, maeneo ya Mwenge, anawatabiria watu maisha yao.
Je, na nyinyi mmemwona? Je mambo anayo watabiria watu ni ya kweli?"
Subiri waliotabiriwa kama wapo humu watakuja kutoa ushuhuda
 
Another Kawe in a making. Huyu ye ajitege Leaders au akodi uwanja wa Mwenge
 
Habari wakuu,
Kuna mtu mmoja wa sura ya kihindi amepita Dar es Salaam, maeneo ya Mwenge, anawatabiria watu maisha yao.
Je, na nyinyi mmemwona? Je mambo anayo watabiria watu ni ya kweli?"
Sasa wewe hiii forum ni world wide,ila unaleta swali as if ni forum Kwa dsm dwelers
 
Sasa wewe hiii forum ni world wide,ila unaleta swali as if ni forum Kwa dsm dwelers
Yes. Na hili ni tatizo kubwa kwa baadhi ya wanaJf. Wengi wanasahau Jf ipo mpaka huku Umasaini ndani-ndani huku.Wanadhani Jf ni kwa ajili ya wanaoishi Dsm tu. Kumbe sio hata kidogo. Halafu nyuzi zenye maudhui ya mahusiano ya Me na Ke ndo zimetamalaki. Tupanue wigo.
 
Habari wakuu,
Kuna mtu mmoja wa sura ya kihindi amepita Dar es Salaam, maeneo ya Mwenge, anawatabiria watu maisha yao.
Je, na nyinyi mmemwona? Je mambo anayo watabiria watu ni ya kweli?"
Amepita mwenge- dar es-salaam
 
karudi tena , miaka ya nyuma alikuwa anapita sana..inshort anakustudy tu jinsi ulivyo anaanza kukwambia matatizo yako na mafanikio yako.Anacheza na saikolojia tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…