Kuna mtu mwenye tatizo kama langu cas.tcu.go.tz?

July Fourth

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
2,240
Reaction score
795
Hii web hainiruhusu kulog-in eti ninakosea passwd au username, tatizo limeanza leo, nataka kufanya mabadiliko kwenye kozi zangu bt i cnt.. Kuna mtu mwenye clue anisaidie..nashukuru
 
Kwa taarifa nilizonazo ni kuwa mtandao wa tcu unafanyiwa marekebisho kufikia kesho tarehe 23 june mchana mambo yatakuwa fresh. So, jaribu kesho mkuu. Source ni tcu pale Mikocheni.
 
Mi mwenyewe nimepetwa na tatizo kama hilo. Sijui kunanini?
 
Dah afadhali ata tupo wengi nkadhani ni mimi mwenyewe aisee nlishaingia wenge
 
Mkuu hata mimi nimekutana na tatizo hilo.Bora tuko wengi nadhani kuna mambo wanaboresha ingawa muda wenyewe unaelekia ukingoni.
 
bila shaka hawa tcu wataongeza muda maana hii site yao imekuwa na matatizo kibao
 
Hata mimi imenigomea tangu jana,inawezekana wanafanya marekebisho.
 
Hii web hainiruhusu kulog-in eti ninakosea passwd au username, tatizo limeanza leo, nataka kufanya mabadiliko kwenye kozi zangu bt i cnt.. Kuna mtu mwenye clue anisaidie..nashukuru

wory out wanarekebisha system j3 itakuwa freshy
 
Hii web hainiruhusu kulog-in eti ninakosea passwd au username, tatizo limeanza leo, nataka kufanya mabadiliko kwenye kozi zangu bt i cnt.. Kuna mtu mwenye clue anisaidie..nashukuru
Nimepata taarifa kwamba,tatizo linafumbuliwa hv.
Andika username yako then password ni 123456
lakini unatakiwa u-update upya, program zako pamoja na password..
 
sijakusoma kabisa hebu jaribu kufafanua.. ' Ku-update ' kitu gani tena maana umeniacha njia panda
 
Nimepata taarifa kwamba,tatizo linafumbuliwa hv.
Andika username yako then password ni 123456
lakini unatakiwa u-update upya, program zako pamoja na password..

hiyo ni solution moja ya kipumbav kuliko solution zote nilizowahi kuzisikia maishani mwangu(sio kwako kijana i،m talkin abt tcu) sasa hapo ni nini kitakachozuia mimi kuingia acc ya mwanafunzi yeyote yule.KWELI BONGO IT MBOVU SANA
 
Ingiza number 123456,then fuata maelekezo!
 
Back
Top Bottom