ahaha umeshaambiwa kushtuka shtuka ni hatari kwa afya yakoKama mie tu nikiona comment ta chuganian nashtuka moyo yani.
chuganian jamani oooooof!
Yani nitazimia ati.ahaha umeshaambiwa kushtuka shtuka ni hatari kwa afya yako
usizimieYani nitazimia ati.
Halafu unajua ni ver serious mummy!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole dogoKuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] afu weweeatakuwa Daby tu huyo
mtego huo nataka anitongoze nimkatae nimuanzishie uziSweetheart unanitafuta la rohoni eeh!!!
Nitajikaza,ila moyo unalipuka sana jamani.usizimie
maisha yenyewe haya mafupi
i know ur beautiful and smart tooahaha umeshaambiwa kushtuka shtuka ni hatari kwa afya yako
khee kumbe unanipima wewe ... sasa nitakubaka na kukuibia
asante mkuui know ur beautiful and smart too
Aaaah mwenye Bomba hakai foleni, nlikua nimekaa pm nasubiri nione huyo atakaeapply ili niamshe dude.....Hivi madam ile nafasi ya kazi nawe uliapply?
Siku ukinitongoza mimi nakukataa!![emoji1][emoji1][emoji1]Usione soo sema naye, sikuhizi hata KE tunatongozaga mwanawane.
Mbona wewe kuna mtu unapendaga kule makapuku forum na hujawahi kumwambia?[emoji1][emoji1][emoji1]Mwambie basi kwani waogopa nini