Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji6] [emoji6] [emoji6]
Nilikuja mbio nikadhani labda umenitaja mimi[emoji30] [emoji30] [emoji30]Kuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje
Acha tu migomba ni shahidi wa mapenzi yetuMigomba? Migomba iliona nini cha kushuhudia kati yenu?
Uuwi mumy wacha kuvunja mbavu zangu miee.Hahaha
Hebu nikumbushe ni nani vilee
Hahaaa! Kuna ule wa kwenda mlimani kwenye maombi ndio ulifika na nikakubali kweli ila huo mwingine mmh bado.
Ila ataufikisha usijali.
mzima lknMmhh! Kazi kweli kweli.
shikamoooMwambie basi kwani waogopa nini
mzima lkn
mm nimefanyaje[HASHTAG]#Shunie[/HASHTAG]
hivi anapata faida ganHumu kuna watu ni wanawake ila wametumia majina ya kiume, kuwa makini.
Kuna mtu namjua ni mwanaume haswaaa ila jina anatumia la kike comment zake za kike na watu wanamtambua kama mwanamke sijui aonagi aibu?
Hope kuna watu mnamjua ni yule alokua anatumia id fulani zamani akaja badilisha.
Hatuna budi kumsubiri aisee huenda ikawa ana sababu nzito na yenye faida iliyomfanya asite kuufikishaHa ha ha, Numbisa! ule wa mlimani wa kuja na baiskeli ni lazima aufikishe kwa sababu una maslahi kwake.
Namuona anapita pita analike, nasubiri nisikie ataniambia nini juu ya kutofikisha ujumbe wangu kwako.
hahahhhEbu mkuu kuwa mubashara tumjuwe
tehNi pale utakapo kuja kugundua mleta thread ni mwanaume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atakuwa ni Ushimen