Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona ya husna yanajirudiaHivi unamkumbuka yule muuza ice cream daily tukiwa tunacheza Doso jioni huyu hapa...
Raha yako umtaje eehnaona ya husna yanajirudia
Rafiki ujue we n shilawaduMbona wewe kuna mtu unapendaga kule makapuku forum na hujawahi kumwambia?[emoji1][emoji1][emoji1]
hahahhhHahaha
Hebu nikumbushe ni nani vilee
za mm nzuri mmy sijui wwNashukuru sijambo wangu. Habari ya wewe?
hahahhhh hivi Daby ujue muhusika n ww au atakua leo kaka angu BonnyRaha yako umtaje eeh
Usikuze bwana. Shii. JF hawachelewi kusema nimekutum useme hivi.hahahhhh hivi Daby ujue muhusika n ww au atakua leo kaka angu Bonny
Maandishi ya kike na ya kiume siyanatofautiana?Humu kuna watu ni wanawake ila wametumia majina ya kiume, kuwa makini.
Kuna mtu namjua ni mwanaume haswaaa ila jina anatumia la kike comment zake za kike na watu wanamtambua kama mwanamke sijui aonagi aibu?
Hope kuna watu mnamjua ni yule alokua anatumia id fulani zamani akaja badilisha.
Mi sijambo ndugu yangu. Naona tunapishana tu , ila nimefurahi kama umzima wa afya mumy.za mm nzuri mmy sijui ww
Kumbe humu watu mnajuana eeeeh??Asee na dogo anawala watoto wa JF hatar.
Leo asubuhi alikuwa nakohoa kohoa sijui ndio tayari ama vipi.
Huwa ana kawaida ya mgomo huenda ikawa kagomea kule mlimani hataki kushuka eti anamsubiri Bashite.
Hahahaaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] 🙂........rafiki nina data za watu wengi sana hapa JF!!Rafiki ujue we n shilawadu
Ndio hapo sasa. Ila atashuka tu baadae naye tumsubiri tu mana hatuna jinsiSasa anamtaka Bashite wa nini?
Yule mzee naye hata haeleweki.
usipate tabu nishacomment sasaSijaona comments yake hapa na hakuna hata alokisia kwa kutaja jina lake
basi huyu leo ni Bonny bandiko linamuhusuUsikuze bwana. Shii. JF hawachelewi kusema nimekutum useme hivi.
Mwenye uzi anamjua mwenyewe msukumwa na moyo wake.