Kuna mtu nimemzimikia

Husna Muba

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
14,524
Reaction score
44,577
Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] tii kiu yako
 
Funguka coz Hakuna Mwanaume mwenye jeuri yakutongozwa akakataa...
 
Daah". hebu mtaje uondoe sintofahamu bana, usivuruge concentration mtu unaweza kuthani ni wewe kumbe sio, okoa mida.
 
Ushauri ni u m pm myajenge kuliko kuusemea moyo wako na kuishia kusoma post zake.atachukuliwa na warembo wenzio halafu ubakie kununa,sema naye usione soo.
Asante mkuu ila naogopa anaweza kuja kunjchAna nikapata aibuu
 
Funguka upate haki yako
 

= nilifikiria

Mwambie muoane ID yako inaonesha u Muislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…