Kwani huna namba zangu weweHahaha tuma namba pm
kina solex [emoji23]Kipo waaa! Nimerefusha shingo sikioniii
Unaniaibisha ujue.Tena wewe ndio kabisaaa uzi ulishamaliza kila kitu.
usikute nao wamechange majinaYeah wambeke... masai dada hawa watu aseeh wamepotea.
Usinifanyie ivo muke ya manga wa zamani nitaishijeHuyu anakufunga kamba tu, pesa zake hazitoki, ndio maana nilimuacha.
Bathi nitakutigopesa... kiasi gani vile jipimie ili usijiumize [emoji23][emoji23]Kwani huna namba zangu wewe
kwan ww unataka kunikula si mangaMimi au Manga,?
We nani hapendi pesa, pesa kwanza mengine bonus bsana.Ila ka atoto kalikuwa kanapenda pesa jamani bora umemwagiwa maji kama kama ya yohana maana....
Hicho kikojoleo au kibox cha huduma ya kwanza? ?kina solex [emoji23]
Hivi unamjua babu vizuri weweKama yakoooo [emoji23][emoji23][emoji23]
hapo umeniacha njia pandaHehehe
Watu wamefanywa wa saa nane
Sure...JF usipokuwa makini unaweza kuchat na I'd zako pachausikute nao wamechange majina
Na kweli huu uzi tumeuvamia kweli.Ageni bwanaaa
Jana ndio katuambia na sakayo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kumbe hukujua? Daby hakukwambia? Maana anajua.
Tuma kwenye simuHem njoo basi uweke miamala
walikua washkajiNdiyo yeye nini ngoja nitamfutilia
Hahahh[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wa kasinde ni yule smart ngapi sijui.