Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
- Thread starter
-
- #2,161
Njoo nikutibuUnanitonesha ujue
Ndio.Una maex wengi sana wewe mwanamke![emoji17]
Yaani hathubutu kutoa kengele hapatembea na kwenye majukwaa mengine we upo hapa tu kama una super glue
husna futa uzi huu bae wako si ulishampataNjoo nikutibu
Wala niende wapi mie....Ili uende ukafanyaje?!
[emoji23][emoji23][emoji23]hahahhh rungu ya kimasai
Kwani hujaiona, nimeituma mudaa kwa id ya zamani, we angalia comment za nyumaHaya pacha lete huku
Sio langu hili ni la Manga[emoji101]
[emoji15]Lipo kwenye roho... si unajua zimeumbiwa wivu
I wish I could be the one to comment on your thread..!mm sijamzimikia mtu ningeshaanzisha na mm thread kwa nn uteseke mtu yupo unafunguka tu
Labda nitoe machozi tuDaaaah
Na wewe si uongee kwa huruma basi
Niliviona kwa mbaliUlijuaje km ni vitamu?!
ukifutwa tutamuona tu mwangalie Daby alivyokua mpole kwa husna tehYaani hathubutu kutoa kengele hapa
Mwambie ukweli ha haNimeshampa
Teh nakoelekea nalainika etiNjoo nikutibu
hahahhhh sakayo manga asije akarudi akakutana no iliyotumwa na mtu mmoja nilionaKwani hujaiona, nimeituma mudaa kwa id ya zamani, we angalia comment za nyuma
[emoji56]Nimeona aibu mimi. ....usimwambie mmeo lakini eeeh...
Hivi huyu bado ni mgovi wako?Ndio.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wala unanilisha maneno mie. ....
Husna hana shida toto la kitanga [emoji8][emoji8]
Mmm ile sii itaki muamala wangu upotee tuKwani hujaiona, nimeituma mudaa kwa id ya zamani, we angalia comment za nyuma