sakayo ememwambia ampe kila kitu kwahyo usicheze mbali na sakayo akikufa tu Babu unarithi kila kituHuyu babu yangu nasubiri akufe tu nirithi kila kilichochake.
Ila kiinua mgongo chote ameshakiinulia kikojoleo na akina Sakayo [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mwonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio. Mpe mzigo huo bhana...
huyo ni wa husna na mm nina baby wanguMwonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio. Mpe mzigo huo bhana...
teh teh teh.... Ukifuata nyuki unaweza kula asali lakini asilimia kubwa utaota manundu.hahahhah
Mtoto anamiliki chura mkubwa kuliko wa Kihantsi. Ndugu yangu utafaidi sana...Halafu anao haswa... sijui huyu mtoto alimpa nini mungu akampendelea
Tuwaloge Husna na baby wako wafe...huyo ni wa husna na mm nina baby wangu
Wee mzee unazeeka biya itakua
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Najua we mtoto mzuri, ila huko ulikoenda ndo nina wasi wasi
Wewe utakua mbele ya hao majambaziWassup in here? Niko around maana humu majambazi ni mengi.
Hakitokei kitu hichoNitampa tu, ila tukutane mabwepande.
Kwani Daby roho yako wewe imetua kwa Shunie sio husna muba?kweli Dunia jalala wapenda huku hupati wapata kule dahHivi shemeji unashindwa kuongeza angalau kapoint kwa shoga ako namii kikojoleo changu kijihisi kipo duniani.
Kama amekukabidhi basi imekula kwakeKule wapi wewe wakati funguo ninazo mimi?
Sio kidogohahahhah Babu umemwalibu Daby
Weee mzee unachanganya wajukuu bhanaaaMwonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio. Mpe mzigo huo bhana...
Halafu anao haswa... sijui huyu mtoto alimpa nini mungu akampendelea
Najua humtaji vile atapokonywa jimbo punde tuhuyo ni wa husna na mm nina baby wangu