[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hii ni shida tena kubwaaaTuwaloge Husna na baby wako wafe...
Hivi picha zangu ulifuta auAm humbled...
Naomba picha yako nitakase macho yangu...
Hahaaahahahhah nikiona dogo najua marioo type
Heeehapana aisee huwa nafarijika teh
Kumbe na wewe umoooNa yale unayoyatuma huwa unayatoa wapi?
Kizuri kula na nduguyo, ila kwa babu sijuuuimchepuko kwa mwingine sio kwako sakayo ndg yangu mm siwezi kumfanyia hivi
Ujue Husna ndo katuwekamo hapaHivi shemeji unashindwa kuongeza angalau kapoint kwa shoga ako namii kikojoleo changu kijihisi kipo duniani.
Like faza like sanhahahhah Babu umemwalibu Daby
Ndo tabia yako hiyo sio, babu hakufi leo wala kesho, mpaka aone wajukuu wa mapacha nitakaomzaliasakayo ememwambia ampe kila kitu kwahyo usicheze mbali na sakayo akikufa tu Babu unarithi kila kitu
HeheheHalafu anao haswa... sijui huyu mtoto alimpa nini mungu akampendelea
Wasife, wapendane ili Shunie na Daby wakulaneTuwaloge Husna na baby wako wafe...
Unajua sikuelewi loveKwakweli tunaweza kuuvunja muungano.
Pole Manga, Daby kakugeukaKwani Daby roho yako wewe imetua kwa Shunie sio husna muba?kweli Dunia jalala wapenda huku hupati wapata kule dah
Habari yako Manga, nani amethubutu kukufichaNatumai muko poa wote humu
Wewe tena huyo khaaaWasife, wapendane ili Shunie na Daby wakulane
Utamuelewa tu ngoja siku zipiteUnajua sikuelewi love