Wa kunificha bado natafutaHabari yako Manga, nani amethubutu kukuficha
ShemejiWewe tena huyo khaaa
Unanitisha auUtamuelewa tu ngoja siku zipite
Unatafuta wapi na umri umekuachaWa kunificha bado natafuta
Sijafichwa mimi mizuunguko tu mpesa ntatuma hewani ngoja nichukie kwanzaShemeji
Karibu, tatizo wewe unafichwa mno na mpesa ndo hujatuma kabisaa
Bado nipo na nguvu ya kutafutaUnatafuta wapi na umri umekuacha
Uchukie nini tena shemelaSijafichwa mimi mizuunguko tu mpesa ntatuma hewani ngoja nichukie kwanza
OooohBado nipo na nguvu ya kutafuta
Kwa hiyo ni honge hewa sio?We hutaki kuhonga bhana
hahahahh sitakiTuwaloge Husna na baby wako wafe...
[emoji23][emoji23][emoji23]Wee mzee unazeeka biya itakua
HahahhhhWewe utakua mbele ya hao majambazi
Manga kama sio ww sakayo njo umuone ndg yako leo kaanza kuongea mchanaKwani Daby roho yako wewe imetua kwa Shunie sio husna muba?kweli Dunia jalala wapenda huku hupati wapata kule dah
Hahahhh
Usiniongezee wazimu nlio nao tu nachanganya maandishi
anajijua mwenyewe sina haja ya kumtajaNajua humtaji vile atapokonywa jimbo punde tu
kabisa hawafai ktk matumizi ya mwanamkeHahaaa
Marioo ni wakuwaogopa kama ukoma
huo mzigo wako kula mwenyeweKizuri kula na nduguyo, ila kwa babu sijuuui
[emoji23][emoji23][emoji23]Like faza like san