nakumbuka ni fakalava alisababisha niingie huko tulikutana kwenye story moja hivi mbona wanawake wengi wapo huko mpk espy yupoHehehe
Hivi ni nini kilikufanya ukaingia huko Shunie
hahahhhNipo kwani mnanisema
Wanasemaga mapenzi upofu ila mie naona ila sisikiiooh nimekumbuka si unajua kupenda tena [emoji23]
kama haonekani mm nahusika vipiHaonekani
Umenikumbukaje hem sema nisikiehapo ndio nilipokukumbuka
Lile ulijisahau kabsaaa tena kwa msistizo ukajibu kibabe nikajua mmm kapendwa mtu apa
hahahh umekua wetuHuu umekua wetu nakukaribisha kiroho safi kabsaa
si una lengo lako [emoji23]Wanasemaga mapenzi upofu ila mie naona ila sisikii
Unataka kumshawishi auhahahhah wenzako wote wapo huko bonny, Babu Asprin, raimundo
Usishangae kua uyaoneduhhhhh
ulivyoongea kuhusu jina la fakalavaUmenikumbukaje hem sema nisikie
HahaaaInaonekana kweli kaliwa.
Nahisi kamwambia ukitaka nikukule usije tena huku mana si kwa kujificha hukuTunaaza na wewe, Husna si hayupo
Huyo huyoooHaha... yule wa tunakulaga
hahahah manga anamuua DabyNahisi kamwambia ukitaka nikukule usije tena huku mana si kwa kujificha huku
Ni kwi kwi[emoji104][emoji104][emoji104][emoji104]
Mimi au??Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Unacjeka nini jibu ndo hilohahahhh
Mubasharamliokua mnapeana maua [emoji23]
Nani akuseme labdaNipo kwani mnanisema