Babu ukuje huku, we unataka nikose mirathi siioKwani haujajua hadi sasa......u mtu mzm ati
Kwani ujuavyo shemeji anakuajeJamani, umechukia ba mdogo wangu, maana nasikia shemeji watu wanakula
Na Kafichwa haswaaAlikuwa kafichwa ndani.
Haya ipate kwanza eeeehBabu ukuje huku, we unataka nikose mirathi siio
Shemeji wana tabia za kuzima taaKwani ujuavyo shemeji anakuaje
Ndio lipi hilo?Eti wameniambia upo jukwaa pendwa...!
Sina jinsi rudisha tu funguo yakeHuo wivu sasa.
Duuuh!! Nimekosa uhondo!!Ulikuwa wapi
Tumeukeshea huu uzi mpaka tukaona mkulano
hahahhah halaf Babu mida yake hii ya kufichwa anaibuka alfajiri na usiku mneneHaya ipate kwanza eeeeh
Ndio jukwaa gani hilo?Anamaanisha jukwaa pendwa shemeji sio uzi huu
mhNdio lipi hilo?
Koh unataka niwe naenda mimi mida hiii....hahahhah halaf Babu mida yake hii ya kufichwa anaibuka alfajiri na usiku mnene
jukwaa la wakubwaNdio jukwaa gani hilo?
Tume uhodhi wenyeweNani ameukupa huu uzi
mm tena umekua mswati auKoh unataka niwe naenda mimi mida hiii....
Sibadili gia mimi bado target ni wewe
hahahhahh