Naamini mbona mii pakavu nishindwe kuamini kwakoHehehe
Huamini au
Mshafika au bado? tuanze safari na mimi.tumetoka mbali sana
hahahhhh chizi wwMshafika au bado? tuanze safari na mimi.
Basi za get ilimradi funguogari wapi bana
sitaki funguo mmBasi za get ilimradi funguo
Itakua alidakwa kabla hajawa tayarna haujaaga jana
inawezekana kama anavyodakwa Babu ghaflaItakua alidakwa kabla hajawa tayar
Ndo tukaone leo si jpili tukatembee wanguDunia ya usiku kuna nn huko
Patience123hahahhh nilijua tu hivi kaka si ulinitambulisha kwa diva huku tena naona umepewa mkwara
mm sio popoNdo tukaone leo si jpili tukatembee wangu
Nilikutuma nini?shikamoo kaka nakuona
hapo sawa kaka nimekuelewa na diva ukiona hatoshi ongeza mwingine kaka angu kipenzi mwanamme huwi na mwanamke mmojaPatience123
Alikuaga lkn ameamua kwenda kwa Elli79.
Je nitabaki hivihivi nami ni kijana?
Ni kweli nimeangukia kwa Diva
Mie mzima, jana ulinaniliu sana ninisafi pacha mzima
Ushasahau ata kilitokea mpaka ikatajwa funguo haya tuache hilositaki funguo mm
mmh kaka umeanza lkn si kila kitu kipo sawa hamna kilichohalibikaNilikutuma nini?
Mbona hujatekeleza?
Je unaona ni vyema ufanyavyo?
LIKE za kubeep... kwamba "nimekusoma"hahahh like za kutatanisha
Nimejikuta tu usiku wa manane data on, Jf sijalog out!!na haujaaga jana