Atakuwekea churahivi siku ukiniona ukute sina chura utafanyaje
Pole mkuu anza kupanga uteteziChaumbea kaja... khaaa!!!
Nimeona aibu mie mtoto wa mwanamke mwenzio.Swali gani tena hilo, kikojoleo chaingia kila tundu
Kabisaaumeona kama espy alivyofanya [emoji23]
Kweli na msema kweli ni mpenzi wa bwana.Leo jumapili ujue
Haha....huyu anataka kunifanya mchepuko simtaki.Fursa hiyo
Ha ha haaa mkuu wa ma bazaziUsijale... wengine ni wa maneno tu. wewe ndio wa vitendo...
NakupendaLabeka mamii
huyo nani taja jinaKuataalifa yako kuna watu wanajuana humu na maisha yanaendelea unazani huyo aliekumbia anampigia like za hasira ni wa utani kama wee na babu?
si hutaki kupangwa wwHehe
Kwani nikiingiza kwa mwingine hakiingiii [emoji23][emoji23][emoji23]
We muulize Daby ana id ngapiUmeona eeh?huyu kweli mgeni
Hivii Asprin kabadili ngapi?Mpaka sasa una id ngapi???
Mnaanza kunichanganyaKwani pole nimekupa wewe
Mm mbele sijulikani wala nyuma sijulikanChura sio kigezo vyovyote ulivo
Na mie namuangalia tuuPole mkuu anza kupanga utetezi
limeisha tuHujanijibu ujue... tongozo la Manga kwako limeishia wapi
hahahah fursa kwa Daby huyu si utagonga like 20 kwa hasiraFursa hiyo
niambie hapa nikufateHakuna shida njoo niliponikuelekeze
Huyu jamaa ni sawa [emoji13] [emoji13] [emoji13]Moja walai Maxence Melo shahidi