Thubutuuu!!Hahahaha
You
Kheeee...Khaaaa....
hahahhah usikute ushatongoza unachoreka tuKwani zamani ulikuwa unatumia ID gani??
Nlitaka kujua tu kama nipo salama nisishindwe kuja kuona watotoHaujanikera my ex, kwanini unahisi hivyo baba?
Ukifanikiwa kuharibu hata kwa mmoja tu, basi ujue dawa yako naijua.Hapendi mafanikio yetu. Tufanye mchakato tumharibie kwa mabuzi yake yote...
Anatusemaje vibaya wazee wazima kama sisi??
Arachuga moja hiyoni wapi huko
Mrs. Asprin.Kwani zamani ulikuwa unatumia ID gani??
Kifo cha nyani furaha kwa kunguru.sakayo kavurugwa na habari za babu kutoka kwa espy
Nawe nishakunong'oneza nenda kaangalie.Huo mnong'onezo wa panya au mbona sijauskia mimi
Bora uongo wako umeamua kuuweka wazi...Mrs. Asprin.
Khaaaa in Babu's voice ni mm au espy ndio anakugombanisha na baby wako hivi mm nikitaka kukusemea si unajua ntaanza kuyatoa kule kwenye jukwaa pendwa ambapo ndg yangu hayupo usinijaribu babu