Giza mbonasakayo ndio babu kakuvuruga au naona notification zako ww sikuoni eb njo bas
Babu sio wa kunifanya hivi mie jamani, Imebidi niwe mtazamaji kwa mudasakayo ndio babu kakuvuruga au naona notification zako ww sikuoni eb njo bas
Nimeitwa lakini nikakuta hamna njia et[emoji21] [emoji21] [emoji21]Babu sio wa kunifanya hivi mie jamani, Imebidi niwe mtazamaji kwa muda
Sitaki kuamin kama Shunie bado anakusumbua mangaGiza mbona
utanipa matokeo badae
Ndo ivyo mkuuSitaki kuamin kama Shunie bado anakusumbua manga
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]hahhahah huyu nakumbuka thread yake ya wallet sijui alisahau sijui alikua na elf 15 tu ngoja aje
Unataka bi husna atufungie uzi eeh!!atakua nayo kazaliwa maporini huko nitamwambia anitumie picha then nitaifoward kwako [emoji23] ngoja husna aone
Kweli tena nimetamani.Hiyo amazing kama vile umetamani?
Weeeh!! Mbona wantisha tena!!Utatolewa kizazi kila upande na asili yao ujue
Hebu muite mwambie nilikuwa natania tu ila ni kweli.sakayo ndio babu kakuvuruga au naona notification zako ww sikuoni eb njo bas
Wivu ni kidonda.....Babu sio wa kunifanya hivi mie jamani, Imebidi niwe mtazamaji kwa muda
Usitufanyie hivyo bwana!! Tuonyeshe kidogo tu jamani.[emoji41][emoji41][emoji41]
Njooni pm na nyie muwe tayari kunionyesha vyenu tena kwa pamojaUsitufanyie hivyo bwana!! Tuonyeshe kidogo tu jamani.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Njooni pm na nyie muwe tayari kunionyesha vyenu tena kwa pamoja