Kuna mtu nimemzimikia

Wanawake wasiku izi za mwisho ni balaa tupu....
Kama unampenda....mwanbie ila ukikataliwa usimtangaze vibaya. Kula MTU ana haki ya kuwa na mahusiano na type yake.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Shemeji nimekushindwa.
Daby weeh sio wa nchi hii [emoji23][emoji23] tukuonyeshe tena kwa pamoja inabidi uunde group nimecheka sana
Njooni pm na nyie muwe tayari kunionyesha vyenu tena kwa pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…