Kuna mtu nimemzimikia

Kaganda kwasababu ya Shunie. Shunie naye sijajua kama anamzungushazungusha ili kumpima. Nisaidie kumuuliza
hajaganda kwa ajili yangu alisema hataki kutupoteza mm na sakayo kwahiyo huu uzi ukifutwa atashindwa kutupata kingine alisema nan jf hii atakubali tutawale uzi wake hivi kama tulivyofanya kwa husna sbbu n shemeji yake na kasema sasa hiv huu uzi n mali yake sbbu husna kashampata baby wake
Shunie kwanini unanitesea ex wangu lakini?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kumbe wewe na sakayo ndio mnamsumbua ex wangu!!
 
Hahahahaha
 
Umejitetea tu lakini huja toa jibu bado ni hivii my x baada ya husna ni mimi na shaunie ndo ananigandisha apa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…