Kwani my ex una wivu?Subili nikiwa sipo
Teh..na ww unaunga hoja ya manga unajua huu uzi unanifanya mm nisizurule ufutwe tu
Amemaanisha hivyo hivyo[emoji12] [emoji12]hiv amemaanisha nn hapo
Shemeji ukinogewa?Hicho ulichompa Manga shemeji...
Tatizo umefunga pm... walikutongoza wengi saana nini. Infor kama hizo ungerushiwa badala ya hapa.kwenye umoja wa kumbomboka aisee we mtu ni chizi
Kurukaruka kwa popcorn ndio kuiva kwake.nimekua popcorn tena kwahyo naruka ruka ila x wako simtaki
Hivi ni lazima kufungua kila uziwahusika tunauelewa
Kwakweli.Slow learner.
Inabidi tukufanyie upgrading
Najua huitaji chochote zaidi ya manga na yupo tayari kukufurahishasitaki chochote mm
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]wahusika tunauelewa
Basi acha tu shemeji maana.. nimeshelegea kwelShemeji ukinogewa?
Thenk you mtu wangu wa nguvu4k now
...inabidi mod waufanye wetu watu wengine wazuiliwe kuingia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Basi acha tu shemeji maana.. nimeshelegea kwel
huyo anao asije akawa muhehe ukatupotezea mtuKwani my ex una wivu?
Kuna yasiyozungumzika kwa maandishi shemeji.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Shemeji hii mara ya pili nakulegeza, kwani kuna nini?
Umeanza kung'amua misamiati eeh?nimekua popcorn tena kwahyo naruka ruka ila x wako simtaki
hahahhhh ww si chizi sio siri huu uzi unanifanya nisitembee popote ufutwe tuTeh..
Mimi A na B yote sawa
hivyo hivyo niniAmemaanisha hivyo hivyo[emoji12] [emoji12]
Akujibu kwanza kwani leo yuko wapi?Wapi.....
Basi mood wautoe kule juu ili sisi ambao hatuhusiki tusiuonewahusika tunauelewa