Kubali ufutweufutwe
Cha umbea
siji ufutweNjoo basi ili ufutwe
hahahhhhCha umbea
Tatzo mm sina ninayemzimikia humu, maana unaweza simikia jina la kike kumbe nyuma yake anachat mwanaume [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji82]Upitie tu mkuu utajua
Hafu wewe utakua mtam sana wewemm sitaki
nimejikuta nacheka we una akili sana mpe huu ushauri mangaTatzo mm sina ninayemzimikia humu, maana unaweza simikia jina la kike kumbe nyuma yake anachat mwanaume [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji82]
mtakutana na mapopo bawa [emoji23]Hafu wewe utakua mtam sana wewe
Na kuna ndoa zimepita humuhahahhh aya ndio maajabu kumi ya jf unapenda mwandiko na avatar fake
Kwa hiyo apo ulipo ndo apo apo?weeh mm naogopa kusafiri
Kawaida tumtakutana na mapopo bawa [emoji23]
Hakuna namna shemeji!Kuna yasiyozungumzika kwa maandishi shemeji.
Tufanye tu mission impossible au labda kuna namna shemeji!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Khaaaaa swali gani hiloo kama wewe huna niache niendelee na wivu wangu
waache waoane lkn wanakua walishaonana beforeNa kuna ndoa zimepita humu
Basi tu shemeji...Hakuna namna shemeji!
Sawa my ex nimeacha, we unavyotongoza mbele yangu hadi unaniomba nikusaidie unadhani mimi sina wivu?Acha bhanaa wataka ufanyeje?
hapa hapa kama ww na uzi wa husna [emoji23]Kwa hiyo apo ulipo ndo apo apo?