Huwa napenda utayari wako wa kukubaliana na haliUkishayajua hayo, unapiga moyo konde.
Unawaachia wenye meno watafune.
Nitaku..... shauri zako.......Hata mimi nimesahau.[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Babu nina uhakika sio masai, ila itakuwa pension ndio inamliza wakati pension yenyewe ilishaliwa ikaisha yoote.nafanyaje ndg kapenda hasikii chochote analia lia tu kuhusu babu au babu masai
au nae kachange jina uliniona nae wapi sijamtia machoni mda
hahahhh pension ipoBabu nina uhakika sio masai, ila itakuwa pension ndio inamliza wakati pension yenyewe ilishaliwa ikaisha yoote.
Ungefanyaje???sawa hajawahi kukuacha na hawezi kasema ila ningekua mm mapema
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nitaku..... shauri zako.......
ningekuacha babu una drama si za nchi hii anakuweza sakayo tuUngefanyaje???
Kwani kuna mahali nimekushika?
Uniwache nipumuweee...Kwani kuna mahali nimekushika?
Kwahiyo we hupendi mahaba??? Mi natoa mahaba sifanyi mapenzi...ningekuacha babu una drama si za nchi hii anakuweza sakayo tu
Wewe pumua tu tena kila mahali unapoweza kupumua mie sina neno na hiloUniwache nipumuweee...
hahahhhh sakayo akisikia habari pension atakufwaaaAnawadanganya, imeisha yoote imebaki ile anayopewa kidogo kidogo kila mwezi.
Hivi Daby alikuonyesha? Nasubiri kwa hamu.
Asa mbona unanibembeleza PM?? Niwache bhanaaa...Wewe pumua tu tena kila mahali unapoweza kupumua mie sina neno na hilo