Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Mweeh si kwa hili baridi na gheto kwa watuUle ushauri ulisema hawatakiwi kutuacha tuondoke hivihivi maana ni kosa la jinai, hivyo watupatie pesa za kutosha.
Yule kapotea toka Saint Ivuga aje hapa husna naye kapotea.. koh nmeanza kutafuta mupiya
Ujue sipendagi kukubaliwa haraka...Hivi si ulikuwaga unanitongoza? Uliishia wapi? Au ulighairi?
Hahaha... kaoneAsante kwa kukubali, nasubiri picha hapa.
my role modelKhaaaa babu asprin wa pili
haters akina Daby and co wamenuna saaannaaa baada ya kusoma hapaAwwww!!!!
Yaani hisia nilizonazo juu yako hata hazielezeki, nimeshindwa hata kuelezea nimeishia kutabasamu tu.
Yo ma happiness sweetheart.
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Huko kwenu kuna baridi?Mweeh si kwa hili baridi na gheto kwa watu
Mmmh!!! We chiboko!Yule kapotea toka Saint Ivuga aje hapa husna naye kapotea.. koh nmeanza kutafuta mupiya
Kwani nilikukubali[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Ujue sipendagi kukubaliwa haraka...
Kaneno kamoja tu ukanikubalia shemeji...labda kama upo tayri kunizungushazungusha
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Hahaha... kaone
Nenda kwenye gazeti la sani utaiona
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]my role model
Nilikuwa sijajua..MO11 ndio usingizi wa dada yako. Kwahiyo umheshimu sana.
Tena baridi kali haswaaaaaHuko kwenu kuna baridi?
We nenda kachukuea hela bwana mbona mbishi?
Haya my kaka, niombee tu[emoji85] [emoji85] [emoji85]Nilikuwa sijajua..
Nashukuru kwa utambulisho maridadi.. Nisisikie umetoka tena huko
Au zile text za pm za kunikubalia hazikuwa zako shemeji!Kwani nilikukubali[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Hongereni, sie huku joto kali hatari.Tena baridi kali haswaaaaa