[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hivi kumbe kweli mna mpango wa kumchungulia?
Sasa mnatafuta nini huko.
Kha!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Salamu tu umeshakimbia shemeji...
Sasa hivi nitawafuata pm
Anga zako anaziingilia Daby na Saint Ivuga shaurilo mtajikuta wooote mmekuwa wenzetu.Kwakweli... hivi sasa naanza undava. Yeyote anayeingia anga zangu nambadilisha jinsia afu kojoleo naliweka kisogoni.
Mmmh...Weeeh!! Kumbe ushaoa!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
hahahah jamaan babuSitokaa nikusahau... umenipeperushia ndege wangu.
Nimekusamehe lakini.
Maskini Sakayo wangu,
Kaondoka bila hata kuniaga
Ameniachia majanga,
Moyo umekalumakanga,
Umevimba dungu kama shanga
Ameniacha nashangaaaaaaa
Natamani nitoe chozi,
Nijilaze chini kama chizi,
Nijichimbie kama mizizi,
Dunia haina ajiziiiiii
Weeeeh!! Alikuwaje? Manga tokea uondoke nae bado hajarudi, umemuacha wapi?hivi ungemuona jana usiku muulize manga
ww watu kama sisi ndio tutakuwezaShemeji yangu umeshiriki kuniharibia cv humu ndani.. ukiniona na katoto basi utakapa taarifa ilimradi ni za uongo siku hiyo hiyo kananiacha. Kama unanipenda si uninon'goneze pm tu shemeji
Sijui mmekwenda wapi na manga.mm nimeenda wapi sasa
Unanitakia mema kweli shemeji! nitazipungazaje sasa kimiminika pendwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Na huko pm nikigundua tu nami nawafuata.
Hapana, jirani yako.Mmmh...
Nani tena mim!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asitutanie hakuna kuachana, hata kama hawatakani basi wavumiliane tu.
Nasononeka mtoto wa mwanamke mwenzio...hahahah jamaan babu
Ninafuga nzi siku hizi, bei cheee!! [emoji12] [emoji12] [emoji12]Unanitakia mema kweli shemeji! nitazipungazaje sasa kimiminika pendwa
sakayo wangu atakufwaIshaisha yote, si unajua tulikuwa tunashea akaunti
Sio akina nani!ww watu kama sisi ndio tutakuweza
Ushindwe kwa jina la yesu na malaika wake.Ninafuga nzi siku hizi, bei cheee!! [emoji12] [emoji12] [emoji12]
na mm nimeuliza akijibu niiteSalaaaalehh!!
Huyu binamu yangu ana ex wangapi?