Hakikisha kwanza umekomba pension yoote, alafu tutakupa ujanja.Hebu Nambie nifanyeje dada
Eti anauliza wewe ni ex wangu?Hahaha wivu wa nini jamani...
SawaKidogo pacha unaanza kujitambua hawa wanaume n kuwaangalia tu
Niambie mdogo wangusakayo
Eti anauliza wewe ni ex wangu?
Hata pension siitaki tena, hebu mninusuru roho yanguHakikisha kwanza umekomba pension yoote, alafu tutakupa ujanja.
Kwani nimekukosea nini mke wangu?Na mie bado nakupenda ila moyo wangu wa nyama, hebu mengine unipunguzie babuu
Utaniua jamani na hao Michepuko wako, kwa nini lakiniKwani nimekukosea nini mke wangu?
Nami nakuombea baraka... ubarikiwe mpk ukinai.Asitangulie bhana, mwache aishi tena aone Mungu anavyonibariki
Amina babuuNami nakuombea baraka... ubarikiwe mpk ukinai.
Sina mchepuko hata mmoja. Nimekosa nini kwako mpk nichepuke?Utaniua jamani na hao Michepuko wako, kwa nini lakini
Nikuulize wewe apo hilo swali, kwa nini hutuliiSina mchepuko hata mmoja. Nimekosa nini kwako mpk nichepuke?
Nalijua hilo, ila kila uzi nakufuma na mchuchu tena tofauti, unajua nii kiasi gani naumia lakiniNimetulia sana. Usisikilize ya watu mama. Tutagombana bure tuwape faida. Mwili wangu na vyote vilivyopo juu yake ni mali yako wewe na Sakayo. Nyie tu baaas.