hahahhh ata sijui pacha lkn mm nimeomba kirungu tu hivi hujasikia sifa ya masai Daby atuonyeshe tuHivi pacha lile jukwaa la madyudyu limekuharibu ubongo au
maana yake nn bazaziUnamkosea babu sifa zake
Huyo ni MKUU WA MABAZAZI
nakuonea huruma ndio mana sitaki nikikuficha hatakuona yeyoteKwa nini hutaki kunificha lakini?
naanzaje mmTeh teh kajibuje apa
KoKhaaaa
hahahhhMbona huu upendo hmja nishirikisha hatakama mimi nawapenda
niache mangaAisee mpaka anataka aone OG sas
Ufutwe tuone kama hutanyanyasikahahahhh nataman max aufute ata sasa hiv
uko uko nakuja nione vizuriWapi naingia chooni mie....
pole sana manga naona tu kiduchuWee unaniudhi kwa nini unanifanyia hivyo?
Babu si ameongea kuhusu espy auHapa mimi sijaelewa
Ngoja aje atujibuSielewi muulize aliyesema sisi wahuni.
Hahahhh sina wivu mmAcha maswali jibu tu lako hilo
Mali ya husna muba kuaje uione faragha ya mwenziopole sana manga naona tu kiduchu
Imenipita hiyo si kwa mwendo huuBabu si ameongea kuhusu espy au
nimeona sana... huyu dada yangu tunampeleka tanga kwenye kitchen party akafundwe upya...Saint Ivuga manga anakuita
binamu dada yangu nyama ya ham nitaichukua tu mwenyeweHahahhhh nan sasa atamtaka awe dada ake mvumilie tu