Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Shem mi nitamsaidia babu bwana.. Manfongo si alishaimba?Safi shemeji
Hamna anaeweza mahaba ya babu, anajuaga kunidekeza sema ndo vile tena
Jamani kapata tulizo la roho yake mwacheni kwanza atakuja tuHaiwezekani apotee kuanzia ijumaa jamani
HeheheNi mtu mmoja
Ndo hivyo tena shemelaMalizia tu ndo vile mpo wengi au sio?
HapanaShem mi nitamsaidia babu bwana.. Manfongo si alishaimba?
Naona kina shunnie wananiruka ruka tu hapa
Unajua yuko wapi sa hivi?Hapana
Siwezi msaliti babu
Ha ha haaa kamuorojesha nazani na rungu lakimasai my ex anata alione angemuuliza kwanza husna ha ha haaaAlivyo mfanya Mungu anajua
na mm nimeshangaa ubaya upo sbbu husna ndio mwenye uziUnamsaidia kujibu au
me nipo kiasi kichwa kinaniumaYap, niko Safi hofu kwako
HahahhhhNi mtu mmoja
Tulizo Lake liko hukuJamani kapata tulizo la roho yake mwacheni kwanza atakuja tu
Ha ha pole shem hem fanya basi kwa shunie anieleweNdo hivyo tena shemela
hapo roho yake kwatu mangaNdo hivyo tena shemela
HahahhhHa ha haaa kamuorojesha nazani na rungu lakimasai my ex anata alione angemuuliza kwanza husna ha ha haaa
Sio kwa kuringiwa huku asee kaa myaka ya mababu zetu hem alegee bhana hizi sio zama zileWe una nguvu, endelea tuu
sitakiHa ha pole shem hem fanya basi kwa shunie anielewe
Aliko sijui, ila naamini yuko mikono salamaUnajua yuko wapi sa hivi?
Hatajua bwana shem..
Kwanza leo dinner nikupeleke wapi? Chagua mwenyewe. Ni offer hio
HeheheHa ha haaa kamuorojesha nazani na rungu lakimasai my ex anata alione angemuuliza kwanza husna ha ha haaa
Simuelewi miena mm nimeshangaa ubaya upo sbbu husna ndio mwenye uzi