Poleme nipo kiasi kichwa kinaniuma
Ngoja tuone itavo kuaHehehe
Wanataka laana au
AsanteHa ha pole shem hem fanya basi kwa shunie anielewe
Roho ya nani mpenzihapo roho yake kwatu manga
sitaki tena si umeshanikatazaPole
Unguza kuwaza dyudyu ya Daby
manga ulivyomjibu kuhusu babuRoho ya nani mpenzi
tena hela nyingiAsante
Shunie anataka hela
Haiwezi kua kwatu kabla sija kupata hem kua mpolehapo roho yake kwatu manga
Kazi ya uzi isha isha yeye wanini tena?na mm nimeshangaa ubaya upo sbbu husna ndio mwenye uzi
hahahhhKazi ya uzi isha isha yeye wanini tena?
Bado mii na wewe tu apahahahhh
Hela kitugani bhanaa akubali tu aone nini atapata kazi ya pesa nikupata mambo yatakasayo nafsi si zaidi ya hapo na yeye ndo tulizo la nafsi yangutena hela nyingi
mm sitakiBado mii na wewe tu apa
Hahahhhhh umekua Babu Asprin kwa shahiriHela kitugani bhanaa akubali tu aone nini atapata kazi ya pesa nikupata mambo yatakasayo nafsi si zaidi ya hapo na yeye ndo tulizo la nafsi yangu
HapanaSio kwa kuringiwa huku asee kaa myaka ya mababu zetu hem alegee bhana hizi sio zama zile
Unajua yuko wapi sa hivi?
Hatajua bwana shem..
Kwanza leo dinner nikupeleke wapi? Chagua mwenyewe. Ni offer hio
Good girlsitaki tena si umeshanikataza
Hehehetena hela nyingi
HeheheHahahhhhh umekua Babu Asprin kwa shahiri
Nimekuelewa ngoja nile kwa macho tumm sitaki