Mpk nakuonea huruma puchu tena Daby eb njo
Ulitaka nipige magoti ndo muelekeo au?Hehehe
Nilikuwa najaribu kukusaidia lakini huna mwelekeo, hivi shida ni nini
HapanaUlitaka nipige magoti ndo muelekeo au?
kweli umekua addicted na puchuAlo kudanganya nani itabaki kama ilivyo umbwa
KhaaaaIngeisha na miguu kwa kutembea ha ha haaa
Mii simjui huyo mbunio bhanaa ntabaki kua mimi tuHapana
Uwe mbunio
na maana hivi nakuonea huruma mbilimbi inaishaUnamaana gani hapo
hahahhhhUlitaka nipige magoti ndo muelekeo au?
Khaaaaaa
Mgaie bhana... atakuja kufa vibaya mwenzako uzi unakaribia 6k jamani. Sipendi eti... japo kidogo bhasespy atakua anazunguka uko eb msaidie mwanaume mwenzio mtaftie kipozeo angalia anavyohalibika
sitaki acha aanze maisha mapyaMgaie bhana... atakuja kufa vibaya mwenzako uzi unakaribia 6k jamani. Sipendi eti... japo kidogo bhas
Staki kuamini kama haumpendi Manga. Ebu niaminishe haumpendiHapana aisee
nikuamishe nn si hivyo espy ataendelea na koloni lake [emoji23]Staki kuamini kama haumpendi Manga. Ebu niaminishe haumpendi
Asaivi hata nimkute kaangusha gali miguu chanuuu kichochoroni na m beba nampeleka nyumbani kwake namvua nguo zote nampeka bafuni namuogesha hafu naenda kumlaza vizuuuuri kabisa hafu naondoka zangu taki kabisaaaShunie naye si ukasirike umtengee yote.
Vidole vyake vitaota sugu kutype neno anakupenda kila dk....sitaki acha aanze maisha mapya
Mbunifu bhanaMii simjui huyo mbunio bhanaa ntabaki kua mimi tu