Kuna mtu nimemzimikia

Wewe jamaa yule mganga wako namjua naenda kumwambia atengue tunguli moja.. Haiwezekani shunnie anaona upo na husna ila anakutole macho kiasi hiki.. Roho inamtokaaaa wakati sie wengine tupo single ila anatuzungusha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shunie nenda kwa ivuga ee
 
weeeh mbona jana ulikuja kwenye uzi za watu [emoji23]
Sikujua pale nilivo waona wote nilijua ni hapa nyumbani kumbe loow nikakimbia

Hua nachangia kabisa ila kupiga story. Nje ya mada sio sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…