Nilijua tu asa leo naomba nitoke na shem basi au vipi?Ha ha nimeona comment ya husna....
ningekua sikuheshimu ningemchukua ungemsikia kwenye bombaIla nakuomba uendelee kuniheshimu hivyo hivyo usiache mamy
HUSNA MAMBO VIPI NAOMBA NI KUSALIMIE TU[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hivi unataka niachike utaweza kumudu nayopata kwa hm wangu wewemwamini Daby wako manga eb mwambie husna kuhusu Daby alivyokua anatuambia
Vp bibie? Huyo ndio daby wangu banaa,Khaaaa
Asante mkuu,vp lakiniMama emonji karibu sana
Hawanipati mamy..[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] sawa ila usimtake kabisaaaaaaaaaaaaa
I swear,siku utakayomtaka daby.. . ...... ...............da yaani bado hujamtaka ila nimeshavurugwa[emoji17] [emoji17] [emoji17]
mm sikutaki endelea na husna wakoHivi unataka niachike utaweza kumudu nayopata kwa hm wangu wewe
[emoji5] [emoji5] [emoji5]HV huyu manga alishakupataga?
mm sijakataa husnaVp bibie? Huyo ndio daby wangu banaa,
Mambo kujiamini babu wemm na baby wangu mapenzi yetu pm haya mambo ya show off siku mkiachana aibuuu [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji4][emoji4][emoji4]na kweli usinitake tu maana kwake sibanduki nimekufa nimeoza nyanganyangamm sikutaki endelea na husna wako
Hahahahhah mbavu zangu jamaan sakayo uko apHawanipati mamy..
Ujue kwa penzi lako nawaona wanawake wote midoli
Mmmnh[emoji101]Manga miss u jamaan mbona unapotea hiv
mkiachana uje kwenye uzi utufahamisheMambo kujiamini babu we
Penzi kikohozi.....
Nishampata mbonaNJOOOO TU IN BOX TUYAMALIZE NIME KUSOMA
Hatunaaa kabisaaaa NEVERKuachana ni kudra za muumba. Ila kwqni husna tunampango wa kuaachana kwani!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nimeona like za husna muba kufungua naambiwa uzi haopo dah ni fura kiukweli ukweli yani mh kumbe masiala nayo hua kweli dah
Msamehe bure tu bae maana nnavokujua ww ....Mkuu mke wangu aje inbox yako kufanya nn?
Aisee leo raha sijui kwa ninni sijakwepoo nikatoa ushuhudahusna muongo baby wako alikua anataka mm na espy tukamchungulie kirungu tumekataa sbbu yako