Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
- Thread starter
-
- #5,921
Ila we unampenda ee?Hanipendi kabisa huyu
Apo chaaachaamm nakupenda kama manga lkn sio vingine nikuchukie ili iweje bana maisha yenyewe mafupi haya
Unakuwa kipofu eehahahahh ukipenda unaona basi
kama ww [emoji23]Unakuwa kipofu ee
So sadhakuna namna uumie tu manga
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]na ww pia haupendi
[emoji4] [emoji4] [emoji4] uliza tuTatzo naogopa kuuliza yupi maana italeta maana mbaya hapa
Hilo ndio jibu pigia mstariKwahyo kafichwa na husna muba?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kawaida tuwe mtu kiboko mpk Daby amejua kuimba taarab
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hamnaaaDuh na hv leo ijumaa tutamuona jumatatuuu
Ha ha ha ha siwez kuuza raman ya vita kwa mzee mwenzangu acha nikae kimya tu[emoji4] [emoji4] [emoji4] uliza tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] raha sanakama ww [emoji23]
Ha ha ha jeur ya kumuachia leo huna lazma akalowekewe nguo tena na jiki kabisa anashinda na msuli tu kuanzia leo[emoji1] [emoji1] [emoji1] hamnaaa
Koh kohNa sasa umempata lazima utulie
Au sio my love[emoji4]
Mzee mwenzanguhalafu ushemej ujue unakufaa sana bas tu
Hebu nipe updates mdogo wangu.kama ww [emoji23]
Dada leo ni kupatwa kwa Daby yupo na mbebe wake husnaHebu nipe updates mdogo wangu.