Kumbe kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake!!Dada leo ni kupatwa kwa Daby yupo na mbebe wake husna
naona wamepotea watakua wapo eneo la tukio [emoji23]Kumbe kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake!!
Kwahiyo washakwenda eneo la tukio?
Nakwambiaaateh teh sakayo wangu ukuje tu uone mahaba yale ya kwako na ya babu cha mtto
Wewe huyoooKwa mgangaa..
Halafu eti alikuwa ananiomba kikojoleo changu nikamwambia sikupi ni cha husna
DadaWakachaaaaa
Upo nyonyoooo
Nitakupigia nitakupigia...ni dipu baadaeWewe huyooo
Au nikusemee
lini nilimuomba mm kikojoleo chakeWewe huyooo
Au nikusemee
Mdogo wangu mupenziDada
za ww nimekumiss tuMdogo wangu mupenzi
Naona Uko kwenye kikao, poa baadaeNitakupigia nitakupigia...ni dipu baadae
Kikojoleo chenyewe anakiombea kila mtulini nilimuomba mm kikojoleo chake
Mie pia nakumiss mnooza ww nimekumiss tu
tehNitakupigia nitakupigia...ni dipu baadae
Ni changamoto tu
hahahahh kama cha mfalme mswatiKikojoleo chenyewe anakiombea kila mtu
ukuje tu unikumbatie au mm nitakuja uko [emoji23]Mie pia nakumiss mnoo
Natamani nikuje huko nikukumbatie nafsi yangu itulie
Yaanihahahahh kama cha mfalme mswati
Niseme nisisemeeeeee!!!Kwa mgangaa..
Halafu eti alikuwa ananiomba kikojoleo changu nikamwambia sikupi ni cha husna
Jamaniukuje tu unikumbatie au mm nitakuja uko [emoji23]