Ooooh poor husna.Wewe mwanamke wewe. Ebu niache nibebike na haba nono
Waharibie baby.
Unafikir wnayoyaandika nayaona basi. Kila comment leo huku naona imeandikwa husna muba.
Moyo wa malkia wa nguvu lazima umsukume mwanamme anayempenda ati.
hahhHahahhaahh kiboko yake DabyHata akiniacha sitaachika nitamng'ang'ania
Sina mpango huo mpenzi. Kama ni limbwata nitakutafutia mwenyewe unitilie tu. ..Hata akiniacha sitaachika nitamng'ang'ania
Wale nzi uloagizia tayari, niwalete lini?Mzee mwenzangu hawa wanawake unafikiri wananitakiaga mema basi...
Raha yao kuniona nazungukazunguka leo nimetulizwa hawana furaha
Umewaona we...Ha ha haaaa usiache mwaya isimamie kama kangaroo na ubane haswaaa mana wanaitaka
Nilitaka nikubip swahiba wako Kasema ntakuharibia faragha!!Shemeji za muda huu mbona haujanidip!
Vip swahiba yupo wapi?
Bahati mbaya leo my love husna muba kaformat memory yangu vya nyuma wala sivikumbukiWale nzi uloagizia tayari, niwalete lini?
hahahhahah hivi Bonny unamuona ndg yakoSina mpango huo mpenzi. Kama ni limbwata nitakutafutia mwenyewe unitilie tu. ..
Tehteh.....hahhHahahhaahh kiboko yake Daby
Mdogo wangu, hivi unayaona hayoohahahhahh
Tena hawavai chupi upepo ukija wataona wazi kabisahahahhahah
Mtake radhi bae wangu... poor ya nini labdaOoooh poor husna.
Sio kwa uchochezi huoWale nzi uloagizia tayari, niwalete lini?
Sawaww sbbu bonny hakujui atapata shida na ww
hahahhahah leo wa kimakonde si ulisema wa kitanga huyoBahati mbaya leo my love husna muba kaformat memory yangu vya nyuma wala sivikumbuki
Tehteh.....
Walai nilichelewa kulipenda hili toto la kimakonde [emoji4][emoji4]