Hata mie nimewahiwa tayari, halafu babu Asprin ni mkalihivi ww hueleweki mara mm mara sakayo usije ukawa mtu wa 3some mm bwana nina baby wangu nampenda ananipenda
haelewekiHuyu anachanganya madesa
Naona mamy, anavyojitahidihahahah limemuingia sakayo ukuje
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kumbe nawee ni chizi eeh?uzito kuongea usikutie hofu kilakitu na mahala pakehapa ndio inavyoonekana unashangaa mtu haingizi ukimuuliza mpk unipe ruhusa
Nshakua asplin tena dah kweli kutongoza ni kaziWee babu vpp??!!!
Nenda church utawakuta wapendwa Kule
Km hujui kubembeleza km Marlow basi mrembo shunie hutampata ng'ooo
Fanya uchungulie tu hafu ushangae ilivo kizungu mkutihanipati asee asije akanijia na suruali mpk juu ya kiuno
Haya nimekosomaSisomeki ndio, sio vyema watu wanikariri
Litatoka leo tusipendi ndio
Ni chaming kwakwelihahahh nampenda sana sakayo
Fanya tujuane bhana kwani kuna mbayahahahh nampenda sana sakayo
Ntammilikisha usijariMagari sio mazuri mwaya, zuri likiwa lako na jina lako tuu
Ha ha haaa mbona yeye alibebewa mpka akabaki anachekacheka mpka akuvutwa mkono tehtehHahaaa
Kila mtu na msalaba wake
Yani naeza nkakosea kabsaa mwambie anielewe tuAnza na avatar kwanza
Ntabadili kwenye laptop baadaeHehehe
Kwa nini we mbishi hivyo
Nimemnukuu ujue tehtehMwandiko gani tena huu Mungu wangu
HahahhahahhHata mie nimewahiwa tayari, halafu babu Asprin ni mkali
Hapana nipeni mudahalaf n mbishi
hahahahh unavyojiweka ata asprin yupo shap na ubabu wake mzee wa withoutNshakua asplin tena dah kweli kutongoza ni kazi
nichungulie nnFanya uchungulie tu hafu ushangae ilivo kizungu mkuti