Kuna mtu nimemzimikia

Sometymz inatokea men anakataa, ilishawahi kunitokea mwaka jana... Nilikuwa nipo michakato ya kumalizia mitihani.... Tena mtihani wenyewe practical ya pathology then kuna demu alikuwa mwaka wa tano.... Si akanipigia eti tuonane naenda habari zikawa zingine nikahisi hii itanirudisha kwenye kamkutano ketu ka septemba ikabidi nikatae. So mwanaume anaweza kukubali au kukataa inategemea ana majukumu gani kwa wakati huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…