Fakalava dawa yake supermarket...mwalimu wake manga mpe nguvu sasa
Karibu nduguNimekuja
Kinachonikera eti jf wazuri wote shemeji zangu... haya tu nyie [emoji24][emoji24][emoji24]
Manga asante vipi umefikia wapiKaribu ndugu
hahahhah Daby umenichekesha halaf supermaket ilikua utani anatania huyooo anasepa wengine serious ww tatizo n husna tu acha tumwachieFakalava dawa yake supermarket...
Ila wewe nimeanzaga mbali kukukuwadia watu. Nifikirie bhana hata siku moja tu
Kwa hiyo niweke kwenye gunia kwani ni mahindihela kwenye mabox zinafanya nn ni za wizi hizo
espy n shemeji yako pia manga kaachwaKinachonikera eti jf wazuri wote shemeji zangu... haya tu nyie [emoji24][emoji24][emoji24]
Hayakula tu
tuma kwenye simu acha manenoKwa hiyo niweke kwenye gunia kwani ni mahindi
Kwa hiyo unataka kuniambia Manga yupo serious?hahahhah Daby umenichekesha halaf supermaket ilikua utani anatania huyooo anasepa wengine serious ww tatizo n husna tu acha tumwachie
Kuuuumbeee hafu ni m bishi sasa dahbado ndio humuoni fakalava hachezi mbali
Hata sijui, ngoja nimuulize mamangu vizuriWewe ni wa nchi gani kwani ha ha haaaa
Ndio huoni kelele kuwa nitoe kufuli pm mpk pm kafika ananiambia anataka kunitumia maboxKwa hiyo unataka kuniambia Manga yupo serious?
Espy ni shemeji yangu...espy n shemeji yako pia manga kaachwa